Nakupenda - Jay Melody
Composed by:Sharif Said Juma
Jeny X double six
Iwe giza baridi na upepo
Iwe kuna mawingu na minyesho
Your body baby joto joto
Unafanya nijihisi special
Unanipa sababu ya uwepo
Kando yako we mtoto
My desire we nipe dawa mi mahutui
Sijielewi ooh my God
Shida ni nimekolea penzini
Shida ni baby uko moyoni wewe
Nakupenda we
Nakutaka we
Kwako sijiwezi
Ooh my love
Mpenzi we
Roho yangu we
Kwako sijiwezi
Ooh my love
Akili mwili baby
Hasira zangu navituliza
Ukiongea nasikiliza
Yote sababu ya upendo
Pili pili baby
Vindimu chumvi ya kunynyiza
Yani uroda kupitiliza
Nimeumaliza mwendo
Kiukweli napendwa nachanganywa
Na haya ma raha
Shida ni nimekolea penzini
Shida ni baby uko moyoni wewe
Nakupenda we anhaaa
Nakutaka we oh nana nana
Kwako sijiwezi
Ooh my love ooh my baby
Mpenzi we oh nonono
Roho yangu we aaaah yayaya
Kwako sijiwezi
Ooh my love
Oh nana