Kainama (feat. Burna Boy & Diamond Platnumz) - Harmonize&Burna Boy&Diamond Platnumz

하모나이즈

Burna Boy

Diamond Platnumz

专辑:《Afro Bongo》

更新时间:2025-06-03 18:16:59

文件格式:flac


Kainama (feat. Burna Boy & Diamond Platnumz) - Harmonize&Burna Boy&Diamond Platnumz 歌词

Kainama - Harmonize/Burna Boy/Diamond Platnumz

Lyrics by:Harmonize/Burna Boy/Diamond Platnumz

Composed by:Harmonize/Burna Boy/Diamond Platnumz

Konde Boy

They call me Burna

It's Platnumz

Eh eh eh eh

Na you dey make me sit down dey sing this song

Gala gala

You come dey make me feel like I did you wrong

Jaga jaga

If you want am I go give you more

Jara jara

Today today you go give me love

Sawa sawa o

Eh eh

Nasifiwa kwa mapenzi na madem

Wanapagawa mpaka wananiita handsome

Burna Boy twaeka kila sehemu

Wanapagawa mpaka wananiita handsome

Nasifiwa kwa mapenzi na madem

Wanapagawa mpaka wanaiita handsome

Konde Boy twaeka kila sehem

Wanapagawa mpaka wanaiita hii

Adeka bura kwa mandera

Rudi kwa bibi kinondoni

Amber Lulu kunja dera

Mwanangu Gigi simouni

AJE

Ah inama mama

Ah inuka baby show them

Ah inama ehehee

Ah shika ukuta waonyeshe ulivyofuzwa

Ah inama go down baby

Ah inuka give it to dem baby

Ah inama ehee

Ah shika ukuta

Ruska kutunza

Sio sura sio shepu mi nikimuona taabani

Hivi si Nuna sepetu amanimuite jina gani

Baby girl your body killer wee

Mwendo kama caterpillar

Miguu ya pombe tequila

She dey burst my mind

Ba mutu ba Congo Kabila

Madongo Lunyamila

And she's so sweety vanilla

She dey burst my mind

Ohohoo

Nobody sexy like my baby

Hehehee

Tena Mwepesi akiwa kwa bedi

Adeka bura kwa mandera

Rudi kwa bibi kinondoni

Amber Lulu kunja dera

Mwanangu Gigi simouni

AJE

Ah inama mama

Ah inuka baby show them

Ah inama ehehee

Ah shika ukuta waonyeshe ulivyofuzwa

Ah inama go down baby

Ah inuka give it to dem baby

Ah inama ehee

Mbbbrrroookkeeee

Ah shika ukuta

Ruska kutunza

Oya gaddem mtoto nyau poli

Ana vimacholegezo gololi

Katika game funga tu goli

Hatumalizagi mchezo ukae goli

Kilima kilima panda kilima

Baby kilima hii

Kisima kisima namba kisima

Nainga kisima

Nizame mpaka chini ooh

Ebu Yani katoto kachafu kama bata eeeh

Ah aah

Nami nakafanya ndafu nakang'ata

Salamu ziende kwa wanjala

Doni Maisha kitasa kwenye bunyeru

Wambie Simba kacharara

Anataka msambwanda kwa buku jeru

AJE

Ah inama mama

Ah inuka baby show them

Ah inama ehehee

Ah shika ukuta waonyeshe ulivyofuzwa

Ah inama go down baby

Ah inuka give it to dem baby

Ah inama ehee

Ah shika ukuta

Ruska kutunza

Eh eh

Nasifiwa kwa mapenzi na madem

Wanapagawa mpaka wananiita handsome

Burna Boy twaeka kila sehemu

Wanapagawa mpaka wananiita handsome

Mbbbrrrookkkeee

Nasifiwa kwa mapenzi na madem

Wanapagawa mpaka wananiita handsome

Simba ma vision nitashame

Vite madem nao nawapita handsome

Konde Boy

Konde Boy

Konde Boy